Wednesday, July 13, 2016

SHAIRI: SULUHISHO NI MITI



Ujumbe umeenea kote, Hali ya anga yambandilika,
Magazetini twasoma, Radio zinatangaza,                                              
Utafiti wa wanasayansi, Dhibitisho imara
Tupande miti jameni, Suluhisho dhabiti

Gesi zitokasho Kwa makampuni, Zaloa anga yetu,
Ukataji wa miti, Jangwa nalo laenea,
Taka likitupwa ovyo, maji yachafuka pote,
Tupande miti jameni, Suluhisho dhabiti

Msitu asili yandindimia, Binadamu kachangia
Wanyama pori wauwawa, Kitowea kipatikane




Madawa asili hayapo, Magonjwa sugu sambaa,
Tupande miti jameni, Suluhisho dhabiti

Wakasi wa Ukambani nasi, Jukumu ni letu sasa,
Maarifa tumepata, hali ya anga kukambili,
Hapa na pale tupande, Miti bila kuchoka
Tupande miti jameni, Shuluhisho dhabiti
Andrew Nyamu
Project Officer
Climate Change and Agriculture Innovation
www.andrewnyamuconservationcentre.blogspot.org

No comments:

Post a Comment

WORLD WOMEN DAY: ITS TIME TO ENTRENCH WOMEN IN LEADERSHIP AND DEVELOPMENT POSITIONS

For ages, women have been subjected to back seat when leadership and development issues are being discussed. African culture and traditions ...